http://www.tamisemi.go.tz/ na http://www.necta.go.tz/
Aidha, wazazi na walezi na jamii kwa ujumla mnahimizwa kushirikiana na uongozi wa Wilaya, Halmashauri na shule kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na shule za bweni wanaripoti shuleni ifikapo tarehe 07 Januari, 2023; wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na shule za kutwa wanaripoti shuleni ifikapo tarehe 09 Januari, 2023.
Eneo la Kemondo (Mubembe S/M)
Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera
Simu ya Mezani: 028-2220287
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz
Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.