Mkuu wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu:
Jina: Bw. Nkarage Kalumuna
Simu: +255(0) 786 544 861
MAJUKUMU YA MSINGI YA IDARA YA UTAWALA NA UTUMISHI
•Kumshauri Mkurugenzi Mtendaji juu ya masuala yote ya Utawala na Utumishi.
•Kusimamia mambo yote yanayohusiana na Watumishi na uendeshaji kazi.
•Kutunza kumbukumbu na takwimu sahihi za Watumishi wote.
•Kutafsiri na kutekeleza miundo ya Utumishi.
•Kuandaa na kupanga mipango ya maendeleo na kujenga uwezo wa Watumishi na Madiwani.
•Kusimamia nidhamu ya Watumishi.
•Kushuhgulikia haki na stahili za Watumishi waliopo na waliohitimisha Utumishi wao kwa sababu mbalimbali.
•Kusimamia vikao vyote vya kisheria ndani ya Halmashauri kuanzia ngazi ya msingi hadi Wilaya.
•Kuhakikisha usalama wa majengo ya Halmashauri.
•Kusimamia mkataba wa huduma kwa mteja.
•Kushughulikia vivutio kwa Watumishi ili wawe na moyo wa kufanya kazi kwa ufanisi na walio nje wapende kuhamia Halmashauri ya Wilaya Bukoba.
Eneo la Kemondo (Mubembe S/M)
Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera
Simu ya Mezani: 028-2220287
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz
Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.