Tuesday 3rd, June 2025
@VITUO VYOTE VYA AFYA
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba,anawatangazia wananchi wote
kampeni ya utoaji matone ya nyongeza ya VITAMIN A na dawa za minyoo kwa watoto wenye umri kuanzia
miezi sita hadi miaka mitano itaanza kuanzia tarehe 01.06.2025 hadi tarehe 30.06.2025.
fika katika kituo chochote cha huduma za afya
huduma hii ni bure.
Bujunangoma
Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera
Simu ya Mezani: 028-2220287
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz
Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.