• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba District Council
Bukoba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zitolewazo
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Ugani Kilimo
    • Huduma Ugani za Mifugo na Uvuvi
    • Mikopo ya Vikundi vya Wanawake na Vijana
  • Madiwani
    • Madiwani wa Sasa Waliochaguliwa
    • Kamati za Halmashauri
    • Mitasari ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Mfuko wa Taifa wa Maendeleo wa Jamii (TASAF)
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Sheria
    • Ripoti
    • Fomu Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YAPATA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI SABA KUTOKA KWENYE MNADA WA KAHAWA BUKOBA

Tarehe ya Kuwekwa: June 21st, 2022

Tangu Juni 17.6.2022 hadi Juni 20.6.2022 julma ya kilo mia moja arobaini na nane elfu mia nane kumi na sita (148,816 ) za kahawa ghafi kutoka katika vyama ishirini na moja (21) vya ushirika vya ndani ya Halmashauri ya Wilaya  Bukoba zimeuzwa katika mnada wa mtandaoni na kuiingizia Halmashauri hiyo jumla ya shilingi milioni saba mia tano kumi na tano elfu mia saba hamsini (7,515,750/=) zikiwa ni tozo zilizotokana na mauzo hayo huku vyama vya ushirika vilivyouza kahawa yao vikipata jumla ya shilingi milioni mia mbili hamsini mia tano ishirini na tano elfu (250, 525,000/=.)

Mnada huu wa kahawa unaoendeshwa na bodi ya kahawa  ya mkoa kwa mkoa mzima wa Kagera bado unaendelea mpaka kahawa itakapokwisha na wanunuzi wanaalikwa kushiriki kutpitia http://ots.tmx.co.tz/live/.

Ufuatao hapa ni mchanganuo wa hali ya mauzo kwa Halmashauri ya Wilaya Bukoba kwa siku ambapo kahawa yao iliuzika.

Bukoba DC .pdf

Matangazo Madogo Madogo

  • No records found
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MILIONI TANO ZAIDI KUTOKA MNADA WA KAHAWA BDC

    June 23, 2022
  • HALMASHAURI YAPATA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI SABA KUTOKA KWENYE MNADA WA KAHAWA BUKOBA

    June 21, 2022
  • MTOTO WA AFRIKA

    June 17, 2022
  • DC AZUNGUMZA NA JUMUIA ZA WATUMIAMAJI BUKOBA

    May 26, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fomu mbali mbali
  • Picha mbali mbali
  • We are Implementing 2017 (Picha)

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Wizara ya Utumishi na Utawala Bora
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
  • Tovuti ya Wizara ya Afya
  • Tovuti ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Baraza la Elimu ya Ufundi Tanzania

Waperuzi Walipo

world map hits counter

Kihesabu Waperuzi

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Eneo la Kemondo (Mubembe S/M)

    Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera

    Simu ya Mezani: 028-2220287

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.