• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba District Council
Bukoba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zitolewazo
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Ugani Kilimo
    • Huduma Ugani za Mifugo na Uvuvi
    • Mikopo ya Vikundi vya Wanawake na Vijana
  • Madiwani
    • Madiwani wa Sasa Waliochaguliwa
    • Kamati za Halmashauri
    • Mitasari ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Mfuko wa Taifa wa Maendeleo wa Jamii (TASAF)
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Sheria
    • Ripoti
    • Fomu Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Maktaba ya Picha

WATUMISHI WA AFYA BUKOBA DC WANOLEWA KUHUSU GoT HOMIS

Tarehe ya Kuwekwa: November 1st, 2024

WATUMISHI WA AFYA BUKOBA DC WANOLEWA KUHUSU GoT-HOMIS


WATUMISHI wa hospitali, vituo vya afya na zahanati katika halmashauri ya wilaya ya Bukoka mkoani Kagera wametakiwa kutumia mfumo wa Centralized GoT-Homis ili kurahisisha utoaji wa huduma za afya, kusimamia mapato katika Hospitali na vituo vya afya.  


Mfumo wa GoT-HOMIS ni mfumo wa kilectroniki ulianzishwa kwaajili ya usimamizi na uendeshaji wa vituo vya kutoa huduma za Afya.


Wito huo umetolewa leo tarehe 1 Novemba 2024 katika mafunzo kwa watumishi hao kuhusu mfumo huo yaliyotolewa na Afisa Tehama wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba,  Eraldius Mkebezi kwa kushirikiana na timu ya Wilaya (GoT-Homis Champions Team).


Mkebezi amesema faida za mfumo huu ni pamoja na kuwezesha kusimamia vituo vya afya, kusimamia na kurahisisha utoaji wa huduma za afya, kusimamia mapato katika Hospitali na vituo vya afya na kuwaunganisha watumiaji kwani mfumo huu umeunganishwa katika hospitali na vituo vya afya nchi nzima.


Aidha, Watumishi wa afya wamefundishwa namna ya kutumia mfumo huu kuingiza taarifa za wagonjwa,kulinda taarifa za wagonjwa na kutunza kumbukumbu katika mfumo ikiwa ni juhudi za Serikali ya awamu ya sita kutoa huduma kwa ufanisi kupitia mfumo wa tehama wa GoT-Homis.



Matangazo Madogo Madogo

  • UMITASHUMTA July 20, 2022
  • UJUMBE WA SENSA TOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI BDC July 23, 2022
  • MWENYEKITI NA SENSA July 23, 2022
  • MRADI WA WODI ZA UPASUAJI July 23, 2022
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KILA KHERI LA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA MAPENDEKEZO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA MAUZO YA ENEO LA CHEMBA.

    April 17, 2025
  • DR.NDUMBARO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO BUKOBA DC

    April 16, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI 1.1

    April 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fomu mbali mbali
  • Picha mbali mbali
  • We are Implementing 2017 (Picha)

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Wizara ya Utumishi na Utawala Bora
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
  • Tovuti ya Wizara ya Afya
  • Tovuti ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Baraza la Elimu ya Ufundi Tanzania

Waperuzi Walipo

world map hits counter

Kihesabu Waperuzi

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Eneo la Kemondo (Mubembe S/M)

    Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera

    Simu ya Mezani: 028-2220287

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.