MAJUKUMU YA KITENGO CHA KEKNOLOJIA, HABARI NA MAWASILIANO
(TEHAMA)
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA
Jina: Bw. PETER E. MASASHUA
Simu: +255 (0) 688 302 389
+255 (0) 762 321 022
Barua pepe: peter.masashua@bukobadc.go.tz
A: UTANGULIZI:
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, dunia imezama katika matumizi makubwa ya taarifa na data na kubadilishwa kabisa na teknolojia za kisasa kabisa katika nyanja ya habari na mawasiliano. Matokeo ya muunganiko huu wa taarifa na teknonolojia; Taasisi, mashirika na makampuni yamekua yakipania kuboresha ufanisi wao na hatimaye kuongeza faida.
Kama Taasisi, Mashirika na Makampuni mbali mbali yanataka kushika nafasi za juu kabisa katika ushindani wao kiufanisi, kibiashara na kiutendaji kwa ujumla hayana budi basi kutambua umuhimu , nafasi na kazi za Kitengo cha TEHAMA katika kusaidia ukuaji na ufanisi wa taasisi, mashirika na Makampuni yao.
Tufahamau hapa kuwa; Hata vile vitu tunavyoviona kuwa ni vya kawaida kabisa mfano usimamizi wa mfumo wa barua pepe unahitaji uelewa wa kiasi fulani wa masuala ya TEHAMA.
B: MAJUKUMU:
Kimsingi majukumu ya Kitengo cha TEHAMA katika Taasisi yoyote ile ni mengi sana lakini kwa ufupi ni pamoja na;
C: HITIMISHO:
Kazi za Kitego cha TAHAMA mtambuka katika Taasisi husikika; hii ikimaanisha kuwa kinahudumia timu nzima yaani idara na vitengo vingine vyote ambavyo kwa namna moja au nyingine vinatumia miundombinu na vifaa vya TEHAMA kama vile simu, tarakishi, vichapishi, virudufishi na vifaa vingine vyote vya kielektroniki katika shughuli zao za kila siku.
Bujunangoma
Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera
Simu ya Mezani: 028-2220287
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz
Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.