• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba District Council
Bukoba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zitolewazo
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Ugani Kilimo
    • Huduma Ugani za Mifugo na Uvuvi
    • Mikopo ya Vikundi vya Wanawake na Vijana
  • Madiwani
    • Madiwani wa Sasa Waliochaguliwa
    • Kamati za Halmashauri
    • Mitasari ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Mfuko wa Taifa wa Maendeleo wa Jamii (TASAF)
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Sheria
    • Ripoti
    • Fomu Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Maktaba ya Picha

WATUMISHI WAJENGEWA UWEZO MATUMIZI YA MFUMO WA MANUNUZI NeST.

Tarehe ya Kuwekwa: November 12th, 2024

WATUMISHI WA KADA MBALIMBALI WAJENGEWA UWEZO MATUMIZI YA MFUMO WA NeST.

Mafunzo hayo yameendeshwa  na PPRA kanda ya ziwa kwa kushirikiana na kitengo cha manunuzi Bukoba DC, katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, na kuhudhuriwa na waganga wafawidhi wa Hospitali ya Wilaya,Zahanati,vituo vya afya,wahasibu wa Hospitali,Wakuu wa Shule za Sekondari,Walimu wakuu wa shule za msingi na makundi maalum.

NeST ni mfumo wa kielektroniki wa manunuzi ya Serikali ulioanzishwa chini ya sharia namba 10 ya mwaka 2023 kwa lengo la kuongeza ufanisi na uwazi.

Akizungumza katika mafunzo hayo mwezeshaji kutoka mamlaka ya usimamizi wa manunuzi ya umma (PPRA) Ndugu Alfred Manda amesema mfumo huuumeanzishwa ili kupata ufumbuzi wa changamoto za mfumo uliopita, pia ni mfumo wenye uwazi, mfumo rahisi kutumia,lakini wenye kukidhi mahitaji ya kisheria na miongozo ya manunuzi.

Kwa maulizo kuhusu NeST tembelea www.PPRA.go.tz


Matangazo Madogo Madogo

  • UMITASHUMTA July 20, 2022
  • UJUMBE WA SENSA TOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI BDC July 23, 2022
  • MWENYEKITI NA SENSA July 23, 2022
  • MRADI WA WODI ZA UPASUAJI July 23, 2022
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KILA KHERI LA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA MAPENDEKEZO YA MATUMIZI YA FEDHA ZA MAUZO YA ENEO LA CHEMBA.

    April 17, 2025
  • DR.NDUMBARO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO BUKOBA DC

    April 16, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YENYE THAMANI YA BILIONI 1.1

    April 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fomu mbali mbali
  • Picha mbali mbali
  • We are Implementing 2017 (Picha)

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Wizara ya Utumishi na Utawala Bora
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
  • Tovuti ya Wizara ya Afya
  • Tovuti ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Baraza la Elimu ya Ufundi Tanzania

Waperuzi Walipo

world map hits counter

Kihesabu Waperuzi

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Eneo la Kemondo (Mubembe S/M)

    Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera

    Simu ya Mezani: 028-2220287

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.