Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Bi, Fatina Hussein Laay anawakaribisha Wananchi wote kwenye mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025.
Mwenge wa Uhuru utapokelewa katika uwanja wa KCU-Kemondo na mkesha wa Mwenge wa Uhuru utafanyika uwanja wa shule ya msingi Nyakato.
Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mwaka 2025 ni ‘’JITOKEZE KUSHIRIKI NUCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 KWA AMANI NA UTULIVU’’
Bujunangoma
Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera
Simu ya Mezani: 028-2220287
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz
Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.