Mafunzo hayo yametolewa na Divisheni ya Utawala na Rasilimali Watu kwa kushirikiana na Kitengo cha Tehama
katika Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.
Watumishi hao wameelekezwa kanuni na maadili ya utumishi wa umma, Haki za Watumishi wa Umma na
matumizi ya mifumo mbalimbali kama watumishi Portal,MUKI, na FFARS.
Akizungumza katika mafunzo hayo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Bi fatina Laay
amewataka watumishi haao kuwa waadilifu na wachapakazi huku watumishi hao wakiapa kiapo cha uaminifu mbele ya Mkurugenzi na kuahidi kufanya kazi kwa Bidii.
Eneo la Kemondo (Mubembe S/M)
Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera
Simu ya Mezani: 028-2220287
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz
Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.