• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Bukoba District Council
Bukoba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
    • Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zitolewazo
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Ugani Kilimo
    • Huduma Ugani za Mifugo na Uvuvi
    • Mikopo ya Vikundi vya Wanawake na Vijana
  • Madiwani
    • Madiwani wa Sasa Waliochaguliwa
    • Kamati za Halmashauri
    • Mitasari ya Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Mfuko wa Taifa wa Maendeleo wa Jamii (TASAF)
    • Mfuko wa Jimbo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Sheria
    • Ripoti
    • Fomu Mbali Mbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari kwa Umma
    • Maktaba ya Picha

MITI MIA TANO YAPANDWA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Tarehe ya Kuwekwa: June 5th, 2025

Na Abel Shema.

Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba imeazimisha siku ya mazingira Duniani kwa kupanda miti mia tano katika Hospitali ya Wilaya.

Akifungua zoezi hilo kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya wilaya ya Bukoba Dkt Kisanga Makigo alihimiza taasisi na watu binafsi kuendelea kupanda miti ili kuhifadhi mazingira na kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa.

‘’Tumechagua kupanda miti eneo la Hospitali kwani kuna uhitaji mkubwa wa miti ya matunda na vivuli ambayo itasaidia kutunza mazingira na kuboresha afya’’.

Nae afisa mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba ndugu Dominic Ruta, alieleza miti Zaidi ya mia tano imepandwa ikijumuisha maparachichi,machenza na miti ya vivuli, huku akisistiza zoezi hili ni endelevu.

Kadhalika muuguzi mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba ndugu Elizeus Ezra aliishukuru halmashauri na wadau kwa kujitoa kuja kupanda miti hospitalini hapo ambapo itasiaidia kuboresha afya za watumishi na wagonjwa.

Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani hufanyika juni,05 kila mwaka, na kwa mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu isemayo

‘’Mazingira yetu na Tanzania ijayo,Tuwajibike sasa, Dhibiti matumizi ya plastiki’’


Matangazo Madogo Madogo

  • UMITASHUMTA July 20, 2022
  • UJUMBE WA SENSA TOKA KWA MKURUGENZI MTENDAJI BDC July 23, 2022
  • MWENYEKITI NA SENSA July 23, 2022
  • MRADI WA WODI ZA UPASUAJI July 23, 2022
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MITI MIA TANO YAPANDWA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

    June 05, 2025
  • WALENGWA TASAF WATEKELEZA MIRADI YA AJIRA ZA MUDA MFUPI

    May 29, 2025
  • KIKAO CHA TATHMINI YA MKATABA WA AFUA ZA LISHE NGAZI YA JAMII ROBO YA TATU 2024/2025

    May 09, 2025
  • KILA KHERI LA KIDATO CHA SITA

    May 04, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Fomu mbali mbali
  • Picha mbali mbali
  • We are Implementing 2017 (Picha)

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Wizara ya Utumishi na Utawala Bora
  • Tovuti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
  • Tovuti ya Wizara ya Afya
  • Tovuti ya Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Baraza la Elimu ya Ufundi Tanzania

Waperuzi Walipo

world map hits counter

Kihesabu Waperuzi

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Bujunangoma

    Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera

    Simu ya Mezani: 028-2220287

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Disclamer
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.