Mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Rubafu iliyopo katika kata bya Rubafu unatarajia kugharimu Tsh 584,280,029
hadi kukamilika,
Mradi huu utakuwa na vyumba vya Madarasa 8, Maabara 3, Chumba cha Tehama 1,Jengo la Utawala 1,Vyoo vya Wavulana 4, na Vyoo vya Wasichana 4.
Shule Hii ni sehemu ya miradi bya SEQUIP awamu ya tatu ambapo inatarajiwa kuanza kupokea Wanafunzi mwezi Januari 2025.
Eneo la Kemondo (Mubembe S/M)
Anuani ya Posta: P.O.Box 491 Bukoba - Kagera
Simu ya Mezani: 028-2220287
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@bukobadc.go.tz
Hati Miliki 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba.Haki zote zimehifadhiwa.