Tarehe ya Kuwekwa: June 23rd, 2022
Vyama vya ushirika 26 kutoka kata mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya Bukoba jana tarehe 22.06.2022 vimeuza jumla ya kilo 109, 723 ya kahawa na kuiingizia Halmashauri shilingi 5,521,914/= ikiwa ni ush...
Tarehe ya Kuwekwa: June 21st, 2022
Tangu Juni 17.6.2022 hadi Juni 20.6.2022 julma ya kilo mia moja arobaini na nane elfu mia nane kumi na sita (148,816 ) za kahawa ghafi kutoka katika vyama ishirini na moja (21) vya ushirika vya ndani ...