Tarehe ya Kuwekwa: April 10th, 2025
Kamati ya fedha na mipango katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba imetembelea na kukagua miradi yenye thamani ya shilingi bilioni 1.1.
Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa shule mpya ya sekondari Rub...
Tarehe ya Kuwekwa: April 3rd, 2025
Na Abel Shema.
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Erasto Sima amesikiliza na kutatua kero za Wananchi katika kijiji cha Katoju kata ya Bujugo alipofanya mkutano wa hadhara kijijini hapo tarehe 02 Aprili 2025...