Tarehe ya Kuwekwa: June 5th, 2025
Na Abel Shema.
Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba imeazimisha siku ya mazingira Duniani kwa kupanda miti mia tano katika Hospitali ya Wilaya.
Akifungua zoezi hilo kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halms...
Tarehe ya Kuwekwa: May 29th, 2025
Na Abel Shema.
Walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba wameibua na kutekeleza miradi jamii katika kata zote 29.
Katika mpango huu jamii huibua ...
Tarehe ya Kuwekwa: May 9th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe.Erasto Sima amefungua kikao cha tathmini ya mkataba wa lishe ngazi ya jamii cha robo ya tatu 2024/2025.
Kikao hicho kimefanyika leo Aprili 09,2025 katika uk...